Kozi za diploma ya ufundi inatangaza nafasi za masomo

Jun 17, 2017
1
20
Chuo cha teknolojia na ufundi KIITEC kilichopo Arusha, kinawatangazia wahitimu wote wa shule ya sekondari nafasi ya kujiunga na kozi za diploma na cheti.

chuo kinatoa diploma inayotambuliwa na NACTE kwenye michepuo ya:

  • Telecommunication Engineering
  • Computer Engineering
  • Industrial Electrical Automation
na Certificate ya IT & Security
IMG_1310.JPG

VIGEZO VYA KUJIUNGA:
  • Mwombaji awe amemaliza kidato cha 4 au 6
  • Awe amesoma masomo ya sayansi, na awe na ufaulu wa angalau D tatu kwenye masomo hayo.
JINSI YA KUJIUNGA
Tembelea tovuti yetu ya www.kitec.ac.tz au fika chuoni Moshono Arusha

MAWASILIANO
+255 752 283 808 au
+255 757 845 118
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,602
2,000
Chuo cha teknolojia na ufundi KIITEC kilichopo Arusha, kinawatangazia wahitimu wote wa shule ya sekondari nafasi ya kujiunga na kozi za diploma na cheti.

chuo kinatoa diploma inayotambuliwa na NACTE kwenye michepuo ya:

  • Telecommunication Engineering
  • Computer Engineering
  • Industrial Electrical Automation
na Certificate ya IT & Security
View attachment 526835

VIGEZO VYA KUJIUNGA:
  • Mwombaji awe amemaliza kidato cha 4 au 6
  • Awe amesoma masomo ya sayansi, na awe na ufaulu wa angalau D tatu kwenye masomo hayo.
JINSI YA KUJIUNGA
Tembelea tovuti yetu ya www.kitec.ac.tz au fika chuoni Moshono Arusha

MAWASILIANO
+255 752 283 808 au
+255 757 845 118
"KINATAMBULIWA NA ...... "

Najikumbusha shairi
"kama mnataka mali, semeni niseme nini?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom