Webb
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 425
- 883
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/5ac23741a1f45a8f5ee7eb4fe6
cc67f9.jpg
Nyumba ipo Twangoma mwapemba km 2.5 kutoka barabara ya kigamboni
Vyumba 3 vikubwa kimoja master
Sebule kubwa
Dining
Jiko
Choo cha public
Eneo la kiwanja ni 40*25
Eneo la kujenga nyumba nyingine lipo
Mil 50.
Nicheki Pm Kwa anayeitaji