Naomba mnisaidie Hotel ya kufika Zanzibar

Lyma

Member
Joined
May 9, 2017
Posts
38
Reaction score
25
Wapendwa,
Naomba mnisaidie, nahitaji kwenda zanzibar kwa mara ya kwanza nikiwa na wife kwa ajili ya kuiona zanzibar. Naomba kuelekezwa hotel ya bei ya kawaida ambayo ina mazingira mazuri ninayoweza kufikia na kukaa pale japo two days. Naomba msaada wenu kwa wenyeji au wale wanaoijua zanzibar vizuri.
 
Golden tulip ni bomba sana ...dola 85 kwa siku unapata ocean view room safi kabisa na breakfast ya nguvu pia wanapika local foods vizuri sana at affordable price ...customer service ni super....kipindi hiki cha low season bei si mbaya ....pametulia sana kifamilia ....swimming pool, na room zao ni nzuri sana ....
 
Kabla huja book hotel nenda kakague room na mazingira uridhike ....otherwise utalipia pesa ndefu alafu unakuja kujuta ....pia jitahidi uchange dollar kabisa maana rate za hotel ziko juu sana ukilipa kwa madafu ....otherwise labda kama unataka guest house ....
 
Asante sana mkuu.

Sure, hii naipa plus pia.

Jamaa kama balance iko fit hata asihangaike sana, hii itamfaa.
 
Lodge na Guest house hakuna huko wakuu? nami nataka kwenda kutembea siku mbili tatu
 
Kama unataka kuiona zanzibar basi ukae hotel za mjini kabisa sio za nje ya stonetown. Ningekushauri uchukue tembo hotel ambayo ipo karibu na forodhani, itakuwa rahisi, pia rate zao nzuri. Cheki kwenye booking.com
 
Back
Top Bottom