Godee jr
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,820
- 2,479
Habari wakuu. Napangisha barbershop baada ya kushindwa kumalizia manunuzi ya baadhi ya vifaa. Ni mpya kabisa na ndani kuna vioo vitatu pamoja na droo zake, AC na Stand ya TV. Bango lipo unaweza kubadilisha kitambaa ukitaka.
Ipo njia ya mikongeni katikati ya Mwananchi na Garage (Mandela road?.
Kodi ni laki na nusu (150,000) kwa mwezi.
Note that unaweza kubadilisha matumizi ikawa saloon ya kike au office ndogo.
Karibuni sana pm tupeane mawasiliano kwa mtakaovutiwa.
Asanteni