Workers Compensation Fund

Workers Compensation Fund

benja

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
331
Reaction score
230
Hivi hawa jamaa baada ya ule mtihani pale IFM kilichofuata ni nini????? wamekwisha ajiri ama??? mwenye taarifa yoyote tafadhali
 
Kwa hiyo waliwafundisha ili waje kuwaajiri hapo?
 
wakuu hawa jamaa ni matapeli sijawahi ona. Mbona hawatoi majina kama walivyotoa majina ya shortlisted kwa ajiri ya written. Ni wezi waubwa. Mara wengine wanasema walipigiwa , mara wengine wanasema wakishaajiri kitambo.... sasa ukweli ni upi? Nchi hii urasimu ni wa hali ya juu hasa katika taasisi za umma.
 
yaani ni shiiiida me kunammoja kanambia wana shortlist mwezi wa 7
 
Aliyeko Dar afanye mchakato wa kufika ofisi zao na kuconfirm........ wasanii sana hawa.....sijui JPM kwanini asiwatumbue hawa wezi kama walivyofanywa TIB piga chini wakurugenzi wote na kuweka wachapa kazi... ofisi imekua shamba la bibi kujazana maanko na binamu
 
NJOONI MMUJIBU MWENZENU MLIOPIGIWA SIMU MMEITWA. KWA POST ZIPI?
 
ingekua vizuri wangejibu walipigiwa kwa post zipi ?? hawa WCF ni wasanii hamna bongo nzimaa...waanike majina kama walivyoanika mwanzoni..
 
Aliyeko Dar afanye mchakato wa kufika ofisi zao na kuconfirm........ wasanii sana hawa.....sijui JPM kwanini asiwatumbue hawa wezi kama walivyofanywa TIB piga chini wakurugenzi wote na kuweka wachapa kazi... ofisi imekua shamba la bibi kujazana maanko na binamu
POVU 😵
 
Back
Top Bottom