Kwa anae hitaji msaada wa usimamizi wa Mradi wake wa kilimo pita hapa.

Sambali Boy

Member
Jul 15, 2014
31
95
Wakuu habari, kama title inavyosema ninahitaji mtu yeyote ambae atakuwa anapata tabu niwapi atapata msimamizi wa shamba lake Kwa shughuli za kulima, palizi, kupulizia dawa na mavuno mkoa wa morogoro. Piga
0678058876 au
0683342816
Tupige kazi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom