NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,966
Wakuu mu hali gani.Ninao ubuyu mzuri bei ni tsh 15000/= kwa gunia la debe 6
Weka picha.WAKUU MU HALI GANI.NINAO UBUYU MZURI BEI NI TSH 15000/= KWA GUNIA LA DEBE 6
mkuu li simu langu hali upload picha ningekuwekea ila elewa tu kuwa ni ubuyu mzuri msafi mweupee!Weka picha.