Kwa Graphic designers,Vipi kuhusu hii biashara?

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,594
Habari za jumapili wapendwa?....................

Nakusanya kibubu na mimi nijiajiri,.........................

Biashara ninayotaka kuifanya; ni ya kuchapisha matangazo,ya kawaida sio yale makubwa,................

Ningependa kujua,natafuta printers zipi?lol naona zimejaa kibao.......................

Kwa wale ambao wameshawahi kuifanya hii biashara,nini changamoto zake?
 
Back
Top Bottom