Njoo Monduli nikuuzie!Habari zenu wakuu ..nina hitaji simu kwa bajeti hiyo iliyopo juu hapo..tafadhar iwe ni Sumsung,Sony,htc,au Sony Ericson. Kama unayo weka pic na specification zake tufanye biadhara..nyingine zunaruhusiwa isipokuwa tecno na itel
Alcatel 5023F ya line moja lkn inasoma mitandao yote. Ni mpya kbs ya mwez wa 5. Picha google tu ALCATEL 5023F,Habari zenu wakuu ..nina hitaji simu kwa bajeti hiyo iliyopo juu hapo..tafadhar iwe ni Sumsung,Sony,htc,au Sony Ericson. Kama unayo weka pic na specification zake tufanye biadhara..nyingine zunaruhusiwa isipokuwa tecno na itel
Betri ndugu si ya kupima ni imara sana tena sana.Poa ngoja nisubir maana sijawahi tumia hiyo .betri yake uwezo
Twende inbox tukafanye biasharaMkuu uko wap we na punguzo vp