Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,441
- 38,417
Salamu wadau!
Naomba tujuzane hali ya soko la Karanga kwa sasa pamoja na upatikanaji wake Maeneo mbali mbali ya Jamhuri yetu. Kwa wajuzi naomba watuwekee na bei, na pia wabainishe kama hiyo bei ni ya shambani ama sokoni!
Kwa kuanzia, mi nawadokeza Bei ya Karanga Nyekundu kwa baadhi ya Masoko ya Jijini DSM kuwa inacheza kati ya TShs 3000-3800 kwa Kg.
Naomba kuwasilisha!