Pata website yoyote kwa chini ya 130000

giftcharles

Senior Member
Aug 11, 2015
147
225
Kuwa na website imekuwa rahisi kiasi kwamba mtu yoyote kama anamuda wa kufanya research kidogo basi haitamtumia zaidi ya siku moja ya kusoma na kubonyeza button chache ili kufungua website yake mwenyewe, tatizo ni kwamba sio kila mtu anaweza akatengeneza website ambazo zinaweza kuwavutia watu kuendelea kuzitumia au kutumia huduma zake.

Kufikia pointi hii watu wengi aidha hutafuta msaada wa wataalamu lakini wanagundua kwamba bei zao ziko juu mno, hujaribu wenyewe kujiboresha na kushindwa kwa sababu sio fani yao au hukata tamaa kabisa na kuacha website ife na ndoto zao.

lakini suluhisho ninalo kwa mtu yoyote ambaye anataka kufungua website nzuri na kuvutia watu wengi kwa branding na marketing ya uhakika, kwa TSH 130,000 au chini kutegemea na aina ya website nitaitengenezea jina biashara yako au lengo lako lolote kwenye mtandao, tembelea website yangu hapa halafu tumia contact info zilizopo humo ili tuanze

website: Gift Charles

DISCLAIMER:

1.Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwenye mpango wa kukuza portfolio yangu ndio maana nia yangu ni kufanya na kazi zozote ambazo ninaweza kuzifanya saizi

2.Naweza kuiboresha website hata kama bado ipo hewani

3. Scope ya programming language ninazotumia ni PHP na Python kwa ajili ya backend, pamoja na teknolojia zote zilizozoeleka kwa ajili ya front end(HTML, CSS, Javascript etc)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom