HIFADHI MAZAO BILA KUTIA DAWA

Sikalengo

Member
Nov 3, 2011
38
18
HIFADHI MAZAO BILA KUTIA DAWA
Kwa ajili ya kulinda afya ya mlaji, tumia mifuko ya kisasa (helmetic) kuhifadhi mazao yako. Mifuko inaitwa PICS Na AgroZ.

Ukubwa: kilo 100
Bei: 4000

Tutakutumia ulipo.

FARMRICH Agro-Enterprises Ltd
Email: farmrichagro@gmail.com
Call: 0755325442

JINSI INAVYOFANYA KAZI
Mifuko hii hairuhusu hewa kuingia Wala kutoka. Ukifungia mazao katika mifuko hii, mazao hutumia hewa yote ya oxygen iliyopo mifuko na kubakisha Carbondioxide.
Wadudu wanahitaji Oxygen ili waishi. Wakikosa Oxygen hugs ndani ya siku Saba.
ONYO: Usihifadhi mbegu humu, inaweza kufa.

JINSI YA KUTUMIA
Hakikisha mazao yamekauka vema. Safisha mazao yako kwa kuhakikisha Vumbi Na uchafu mwingine vimetolewa.

Weka mazao katika mfuko. Funga mfuko wa kwanza kwa kamba, funga wa pili, funga wa tatu.

Weka mifuko sehemu salama ili isitobolewe Na misumari ama vijiti. Tumia njia zingine kudhibiti wadudu kama panya nje ya mfuko.
ONYO: Usishone mfuko

MUDA WA MATUMIZI
Mfuko huu Bado uko salama mpaka tu pale utakapokua umetoboka.
Waweza kutumia zaidi ya misimu mitatu.

MAELEZO ZAIDI
FARMRICH Agro-Enterprises Limited
farmrichagro@gmail.com
www.farmrich.wordpress.com
0755325442
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom