Kama kichwa cha habari kilivyo,
Nahitaji simu isiyozidi sh 220,000. Ni simu gani mpya (tecno, infinix, huawei au bland nyingine) naweza kuipata kwa pesa hiyo dukani?
Habari za muda huu wakuu?
Mdogo wangu wa kike ananisumbua anataka nimnunulie smart phone.
Nimemuahidi nitamnunulia, ila naomba mnishauri ni smart phone gani nzuri nzuri naweza nikamnunulia dogo...
Muhimu iwe ktk good condition na bei inayolizisha. Kwa hapa dar au dodoma itakuwa vizuri zaidi kwa sababu ya logistics, ila ata kama ni nje ya hapo si vibaya kunicheck pia.
pm me au hola hapa chini
Habari zenu wakuuu.....
Napenda kuwatangazia tunauza mashine mpya na imara za kusagia karanga.Hizi hazitumii umeme ni nguvu ya mkono wako tu.Tunauza elfu 45 za kitanzania.
TUNAPATIKANA...
Tatizo hili la kuwa na maumbile madogo limekuwa likiwakosesha raha na kuwanyima usingizi wengi, kwani huhofia hata kujiingiza kwenye mahusiano kwa kuogopa fedheha, hali inayopelekea wengi...
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, naomba kujuzwa wapi nitapata soko la vitunguu saumu vya jumla.
Namba yangu ni 0715641681
Sent using Jamii Forums mobile app
Salaam,
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Utaratibu ni kwamba,
Unanipa oda ya gari unalolipenda, ninakupa makadirio ya kodi hadi gari kuwa barabarani.
Ukirithika, unafanya malipo!
Na...
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key) Kwa magari madogo na makubwa eg. TOYOTA,VW,BMW,FORD, Benz, Iveco, Scania nk...
Wadau wa Jf nasafiri kutoka Dar kwenda kahama kwa mara ya kwanza lakin nahtaji kujua wap nitapata gest za bei cheap mana nafka usku.........ikiwezaka kuwe na.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu naomba mwenye kujua Lodge ambayo naweza kufikia pale Kyela ambayo haiko mbali na stand. Isizidi 20k. Kama nitapata mawasiliano kwa ajili ya booking sio mbaya.
Asanteni
Post sent using...