Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau wa Jf nasafiri kutoka Dar kwenda kahama kwa mara ya kwanza lakin nahtaji kujua wap nitapata gest za bei cheap mana nafka usku.........ikiwezaka kuwe na..... Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
19 Replies
5K Views
MAMBO 10 YA KUZINGATIA ILI UWE NA WEBSITE YAKO Sehem ya 1 ~ Pacoster ICT Center
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu naomba mwenye kujua Lodge ambayo naweza kufikia pale Kyela ambayo haiko mbali na stand. Isizidi 20k. Kama nitapata mawasiliano kwa ajili ya booking sio mbaya. Asanteni Post sent using...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa, nahitaji kununua simu kama kuna mwenye simu mpya au used(lakini iwe katika hali nzuri). Bei yake i-range kati ya 160,000- 180,000. Niko Bukoba.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tupo nanenane morogoro barabara ya kuelekea tungi karibu na pentagone geust house Tunauza kwa jumla na lejaleja KARIBUNI SANA. Sent from my TECNO-W3LTE...
0 Reactions
3 Replies
872 Views
Nataka kuungana na wauzaji au watengenezaji wa vifungashio hv Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wajomba habarini za kazi Naomba kujuzwa vinapopatikana vifaa vya greenhouse (isiwe balton) au utaratibu wa kuagiza vifaa hivyo kutoka nchi jirani ya kenya. Ahsanteni
0 Reactions
5 Replies
3K Views
- Kwanini nyumba nyingi zinauzwa Eneo la Chamazi?. - vp hali ya Usalama maeneo hayo?. Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
3 Replies
866 Views
Natafta maduka ya nguo za kike kwa bei ya jumla dar. Anae yajua msaada tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nyumba ipo kitunda frolida barabara ya ng'ombe karibu na kanisa la rama na ina vyumba viwili vya kulala, choo ya ndan,jiko, na uwanja wa parking kwa mawasiliano piga namba 0769073239 Sent from my...
0 Reactions
1 Replies
627 Views
Gari ipo katika hali nzuri Model:carina Colour:silver Km:113,000 Bei:8,500,000 Kwa anehitaji ni PM
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Waungwana, ni kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kioo cha kifaa tajwa kimepata mushkeli. Wapi na kwa bei gani naweza kupata kioo cha kifaa husika? Naombeni msaada wenu wakuu
0 Reactions
1 Replies
966 Views
Naomba msaada, Kuna mtu ana contact zozote Za mjengaji wa Greenhouse?
0 Reactions
5 Replies
906 Views
Sasa unaweza kupata maji safi na salama kutoka kwenye chanzo chako cha maji. Portable water filter, inafanya kazi ya kuchuja maji,inaondoa bacteria,minyoo/wadudu,kutu, vumbi, mchanga,tope...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Pata dagaa safi kutoka Mwanza, ni wakubwa na wameandaliwa kwa ustadi na unadhifu, unaweza kununua kwa matumizi ya nyumbani (mboga) au kwa biashara. Tunauza kwa bei ya jumla na rejareja pia, BEI...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza kinu cha mashine ya kusaga, nilichongesha sido kwa ajiri ya kuanzisha biashara ya kusaga, sijawah kukitumia Kuna emergency nimeipata,, ambaye yupo interested anicheki Post sent using...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Bei zetu mpya za simu za tecno Hutapata kokote C9 - 320000 J8- 270000 L8 - 210000 Smsung J1ice - 180000 Y2 - 95000 W2 - 125000 W4 - 180000 W3 - 165000 LTE W5 - 255000 W5 - 210.000...
5 Reactions
26 Replies
44K Views
Mkopo binafsi wa TZS 5M unahitajika. Marejesho yatakuwa ni 10M ndani ya miezi minne. Dhamana ni kiwanja chenye Hati ya Serikali ya Mtaa kilichopo Tegeta, Salasala karibu na kwa Kombe...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom