Habarini wana JF
Kama heading inavyoeleweka,nauza dcp kwa viwanda vya kutengenezea vyakula vya wanyama hasa kwa wanaotengeneza chakula cha kuku,
Kwa wasioifahamu ni compounds ambazo zina msaidia...
Make : Volkswagen
Model : Bora (1JAPK)
Mileage : 63,319km
Engine size: 1,980cc (APK)
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
Drive : 4WD
M/Year...
Habari Wakuu,
Kuna project nafanya kuhusiana na Supermarkets hapa Dar Es Salaam, Nahitaji mtu ambaye anafanya kazi Supermarkets za hapa Dar es Salaam hasa Hizi hapa,
TSN
Village Supermarkets...
nlikua kimya kwa muda kidogo baada ya kuona ile dawa ya mwanzoni ina mchanganyiko wa vitu vyenye gharama kubwa sasa nimekuja na dawa yenye mchanganyiko mwepec kuuandaa na mwepesi kuutumia...
Hot point
Used miez.miwili imetumika kufua mara 4.
Kg 7 inafua na kukamua na kukausha.
Vyote vinaweza fanyika kwa wakat mmoja.
Bei 380,000
Sent from my SO-01F using JamiiForums mobile app
Samsung laptop
Hdd 320gb
Ram 2gb
Imevuja kidogo kwenye dsplay kushoto chini
Used
Bei 230,000
Simu samsung s6 edge display cracked but inafanya kazi hata touch ina function fresh.
Bei 370,000
Ina...
Nauza laptop imara aina ya dell
Ram 4gb
Hard disc 500 GB
Processor core i5
Betri inakaa masaa manne na chaji laptop bado iko katika condition nzuri
Nauza kwa laki nne na nusu ( 450000)
Salaam,
Naomba msaada kwa mtu yeyote anaeyajua maduka mazuri yanayouza saa za kiume na za kike kwa bei ya jumla hapa DSM, anisaidie katika hilo, #0713 100 279, natanguliza shukrani zangu za dhati
Naomba kuuliza kwa anaejua bei ya Gari Mitsubishi Rosa min Bus, kwa showroom za Dar... Aina Ya Gari lenyewe hilo,, adi naondoka nayo sh ngap?? Kwa anaejua anisaidie mi nipo mkoani mbali na Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.