Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu,wakuu. Naimani wote mpo salama kabisa. Mimi ni kijana wakiafrika, shughuri zangu ni upambaji na kutoa huduma za vyakula (decoration and catering services), katika shughuri...
2 Reactions
7 Replies
972 Views
nlikua kimya kwa muda kidogo baada ya kuona ile dawa ya mwanzoni ina mchanganyiko wa vitu vyenye gharama kubwa sasa nimekuja na dawa yenye mchanganyiko mwepec kuuandaa na mwepesi kuutumia...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Aina-Kenwood Ukubwa (Ujazo)-1500ml Imeshatumika mwezi 1 UBoRA-100% #UBORA100% Mawasiliano-0673462218 Sent from my GT-S6790 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Hivi jamani,wapi naweza kupata credit card hapa Tanzania?Au njia yeyote ya ku make payment online?
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Jamani wandugu nahitaji kumiliki gari la bei ya chini kabisa kuanzia m6 hadi 10 aina ni toyota, nk mradi gari ila huwa napenda vitz ushauri wenu
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nina project ya nguruwe kwenye plot ya 1600 Sqm.nguruwe wapo 34.asilimia kubwa wengi ni majike.wawili tayari wana mimba na wawilitumewapandisha.madume wako Kama 8.project ipo bagamoyo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari,nauza eneo na banda la kufugia Nguruwe, bagamoyo,eneo ni zuri 1600sqm,malipo kwa installement kwajili ya eneo inawezekana na endapo unamaliza intallment ya mwisho unapewa na hati kabisa ya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba kama kuna mtu anafahamu bei ya mbegu ya alizeti kwa debe moja au gunia ni sh ngapi tuwasiliane. Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu kama kunamwenyeji wa handeni naomba msaada wa kupata eneo la heka moja linalofaa kwa ufugaji wa kuku na mbuzi na kama kunaanaye hitaji kushirikiana kwenye hili anakaribishwa pia
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Tuanauza Windows Kwa Ajiri ya Computer. Windows 10 aina zote Windows 8 aina zote Windows 7 aina zote. WINDOWS ZOTE NI FULL ACTIVATED Pia Tunauza TEMPLATES {THEMES} kali ka ajiri ta blog. TUCHECK...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
..... Kifungu cha 34(1)(a) cha sheria ya ardhi kinasema mkataba wwte wa kuhamisha umiliki wa ardhi (kuuza,kununua) au kuweka rehan ardhi utalindwa na sheria iwapo utakuwa ktk maandishi. #NINI...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nissan Patrol Mwaka 1988 Manual Injini TD42 Cc 1838 Mileage 437934 Ac inafanyakazi Gari inahitaji kubadilishwa piston ring lakini inawaka na kutembea Bei Tzsh 4,000,000/= Gari ipo Tanga mjini...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Lipo eka 5 Bei ni million 8 na nusu Aina ya Miti iliyopandwa ni pine Miti ina umri Wa miaka 6 Kwa mawasiliano nipigie 0764426929,0655726929 na0742188846 Napatikana ktk tarafa ya Lupembe mkoan...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu namtafuta huyo muhusika, au kama kuna mtu anaweza tengeneza hiyo tovuti anicheki 0716978592
0 Reactions
0 Replies
798 Views
Wakuu habari zenu,natumai hamjambo. Naomba kujua mwenye dondoo kuhusu soko la maziwa fresh. Nina chanzo cha kuaminika kusupply kati ya lita 80 hai 100 k2a siku Sent from my SM-A510F using...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Make : Subaru Model : Legacy B4 Mileage : 112,090km Engine size: 2000cc Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Automatic M/Year : 2005 Doors : 4 Seats...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ibm Lennovo, core i5, RAM 8GB, HDD 500GB iko vema sana. Bei 450000(maongezi yapo) call 0762295954/0713794962
0 Reactions
9 Replies
798 Views
Salaam wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji Tv flat screen iwe used au mpya ila bei yake isizid laki moja na ishini za kitanzania(Tsh.120,000/=) size yake itategemea ila ni vizur...
0 Reactions
14 Replies
45K Views
Jipatie kitabu cha kujifunza kuongea lugha kichina ndani ya week mbili kwa kutumia lugha ya kiswahili na kiingireza,ni kitabu na CD,bei sh.10,000 tu.piga simu kwa mahitaji au kuwekeza 0757464131...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom