Kwa 220,000 naweza kupata simu gani nzuri?

Kyatile

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2017
Posts
1,739
Reaction score
1,585
Kama kichwa cha habari kilivyo,
Nahitaji simu isiyozidi sh 220,000. Ni simu gani mpya (tecno, infinix, huawei au bland nyingine) naweza kuipata kwa pesa hiyo dukani?
 
unapata s3 mpya kabisa toka china sema utaongeza 20,000 iwe 240,000 kwa malezo zaidi nipigie kwa no 0712090970 ndani ya siku sita unapata cmu yako mpya kabisa.
 
S3 os yake very outdated basi angalau ingekuwa lollipop, na size ya screen siyo kubwa kwangu
 
Back
Top Bottom