Tunafundisha Kompyuta kwa program za, MS WORD, ACCESS, EXCELL, POWERPOINT, INTERNET AND E-MAIL, PUBLISHER n.k, kwa muda wa wiki tatu tu. Tupo kinondoni Mwananyamala mkabala na shule ya Sekondari...
BIASHARA IMEFUNGWA! LAPTOP IMESHAUZWA
1. Jina: HP
2. Operating system: Window 8.1 Pro 64-bit (6.3, build 9600)
3. System manufacturer: HP
4. System model: Hp Elitebook 8440p
5. BIOS: Default...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mbao za aina yoyote zenye ubora zinahitajika,ila wanahitajika wafanyabiashara wenye uzoefu na wenye kuleta mzigo mkubwa..piga hesabu zako mpaka mzigo...
Wanajamii wenye uelewa wa utaratibu wa kufuata ili kufanyika preshipment inspection ya mizigo inayoagizwa kutoka Canada naomba mnisaidie. Naagiza mashine ya kupasua mbao
Ili kuhakikisha unajiandaa vyema na mtihani wako wa mwisho, tumeamua kutoa huduma ya ku ‘solve’ ‘past papers’ za mitihani yote ya ‘necta’, na pia, tunafanyisha mitihani yenye mfumo wa ‘necta’ kwa...
Habar wakuu natumai ni wazima.
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza kwa wale wanaoitaji usafir kwa shughuri mbalimbali
* harusi au hafla
* kusafirisha misiba (mkoa wowote)
* kukodi kwa shughur...
Karibuni wateja wote wa import, export Napia transit goods yote tunadili nayo kwa muda wa mfupi kwa speed Kubwa bila usumbufu kwa wateja Wetu bila kusahau gharama ndogo saana kalibuni wateja Wetu...
Habari zenu wadau naomba msaada yeyote mwenye programme ya microsoft office ya 2017 au mwaka 2016 for macos sierra ambayo ishakuwa activated....
Nitatoa offer nono
Nadhani nitakuwa nimeeleweka...
Wadau ninauza line ya uwakala ya Airtel Money ambayo iko fully operational. Bei ni 200,0000/=.
Kama uko interested njoo PM.Nina shida ya haraka ya pesa ndomana naiuza.
Jifunze kuongea lugha ya kichina in two weeks,ni kitabu na CD kwa bei ya 10,000tzs tu.utajifunza kuongea ndani ya mda mfupi na mwalimu atakaekuelekeza kutumia CD.Call us on 0757464131,0759003146...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.