Nyumba inapangishwa Mbezi ya Kimara

Nyumba inapangishwa Mbezi ya Kimara

Mamndenyi

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
44,689
Reaction score
64,704
Mwenye kutaka nyumba ya kupangisha.
Nyumba ipo Mbezi mwisho. Ni kituo cha tatu kutoka Mbezi stand mpya kama unaelekea morogoro.
Ina masta moja.
Sitting room na vyumba vingine vinne.
Choo na bafu la nje vipo.
Maji yapo.
Bei ni shilingi laki tatu kwa mwezi.
Malipo kwa mwaka mmoja.
............ Karibu........
 
Ukisikia kununua mbuzi kwenye gunia ndio huku. Maji yanapatikana hapo ?
 
Mwenye kutaka nyumba ya kupangisha.
Nyumba ipo Mbezi mwisho. Ni kituo cha tatu kutoka Mbezi stand mpya kama unaelekea morogoro.
Ina masta moja.
Sitting room na vyumba vingine vinne.
Choo na bafu la nje vipo.
Maji yapo.
Bei ni shilingi laki tatu kwa mwezi.
Malipo kwa mwaka mmoja.
............ Karibu........

Ina uzio wa fensi na geti?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom