Nina shida na decoder ya canal + mtu pekee ninayejua anaweza kunisaidia ni lukiko wa kirumba. Jamani kama una mawasiliano naye npm namba yake. Ni mtu muhimu kwangu Kwani nlikuwa naye kwenye group...
Habari zenu wakuu.
Nilifanya research juu ya Alizeti kwenye maeneo yafuatayo:
1.Upatikanaje wake
2.ukamuaje wa mafuta yake na gharama za kiwanda
3.Soko lake na mbadala wake
4. Namna ya kuwakabaili...
Simu za mezani za matumizi ya hotelini,nyumbani,kwenye gari,ofisini zinauzwa kwa bei poa kabisa na zinasifa zifuatazo:-
~Zinatumia line za mtandao wowote ule,
~Zina fm radio,
~Zinabetry ya...
heshima kwenu brothers and sisters..
chumba kimoja kinapangishwa near mabibo hostel - bei ni elfu 60 kwa mwezi ( choo ni cha nje )
1.kuna umeme na maji ( ya dawasco)
3. Ipo ndani ya fence
4...
Eneo liko M 200 kutoka barabara ya lami, Goba uwanjani, mbele kidogo ya Goba mjini ni tambarare kabisa (hakuna mlima au bonde).
Bei M 13
Mazungumzo 0715812160 au 0764452424
Nahitaji korosho zilizobanguliwa nahitaji kupack tu nakumfikishia mlaji. Wapi nitapata kwa kuanzia kilo 3 na ni kiasi gani kwa kilo moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Salam,
Nauza gari, ni SPACIO OLD MODEL
CC 1580.Engine ni 4A, inatumia Petrol
T415 BHH
Gari ipo katika hali nzuri kabisa, bei ni MILIONI TANO TU.(Mazungumzo yapo)
Kwa mawasiliano 0768208713...
Habari za majukumu wakuu, ni matumaini yangu kuwa mnaendelea salama kabisa na juhudi za kulijenga Taifa letu.
Mimi naomba kuuliza kuhusu wapi naweza kupata software nzuri ambayo naweza kuitumia...
Tunahitaji nyumba ya ghorofa ya kununua maeneo ya mikocheni na kawe beach! Nyumba iwe mpya na plot size isipungue 1000sqm
Isiwe na migogoro na pia isiwe bei zetu zile za Jakaya!
Wasiliana nami...
Color Gold, CC 1290, AB ABS
Total cost Tsh 8.2Mil pamoja na ushuru
Agiza nami kwa:
call/whatsapp: +255715471659
e:hamoudautocom@gmail.com
...Wakati wote ni wakati wa kazi...
Color silver, CC 1490, AB ABS AW FOG
Total Cost Tsh 10.8Mil pamoja na ushuru
Agiza nami kwa:
call/whatsapp: +255715471659
e: hamoudautocom@gmail.com
...wakati wote ni wakati wa kazi...
Wazima, samahani nauza smartphone ni tecno w3 kwa laki moja. Imetumiwa kwa muda Wa mwezi mmoja tu. Kama unaihitaji Nicheck 0625623692
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.