Ekari tatu kasoro kwa milioni 5.8 Dodoma mjini

Ekari tatu kasoro kwa milioni 5.8 Dodoma mjini

Good Neighbour

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
942
Reaction score
899
Shamba lipo Mizani(Nala) Dodoma mjini karibu na chuo kipya cha biashara. Umbali wake toka town centre hazizidi kilomita 13 na toka barabara ya lami ni kama mita 700/800. Hati yake ni ya kijiji,halina mgogoro wa aina yoyote na liko sehemu salama.

Unaweza ni PM ama nitafute kupitia 0767833496
stevenmasaka@gmail.com
 
Back
Top Bottom