Habari wana jf tunachimba visima kwa bei rahisi kabisa pamoja na kufanya ground water survey
Mawasiliano 0625 576082
Sent using Jamii Forums mobile app
Warembo karibuni kupata vitu classic pochi kali na viatu unique.mali zetu ni kutoka thailand..no fake zone[emoji16][emoji16] karibuni sana .<br />Ps..Tunafanya delivery dar na mikoa yote...
Warembo karibuni kupata vitu classic pochi kali na viatu unique.mali zetu ni kutoka thailand..no fake zone[emoji16][emoji16] karibuni sana .
Ps..Tunafanya delivery dar na mikoa yote Tz..wholesale...
Habari wandugu Nataka kufungua dry cleaner Mwenye uzoefu wa hizi mambo naomba anipe hata hints kidogo natakiwa mashine ngapi naweza kuzipata wapi na ghalama zipe.. Nataka kufungua maeneo yenye...
Wakuu heshima zenu,
RAV 4 old model,
Sifa
Namba=B/C
Rangi=Blue/Red/Black/Dark blue/ kwa ufupi isiwe nyeupe au silver
Mengine majadiliano, bei isizidi 7m
Nawasilisha
Moja ya bidhaa zetu zilinazo Fanya vizur sokoni in pure black castor oil pamoja na shampoo yake huyu ni mmoja Wa Mteja wetu wa.Znz ambaye alianza kutimia mafuta haya takriban mwezi sasa na hayo...
Wakuu tuna page instagram ya kutangaza vitu used vya majumbani, ofisini na vitu vya watoto vinavyouzwa kwa bei nafuu, usitupe kitu usichohitaji tena, kumbuka cha zamani kwako kipya kwetu. tutafute...
**nina laptop aina ya dell inspiron N1545. laptop ipo katika hali nzuri kabisa yaani haina michubuko na kila kitu kina piga kazi fresh. ina
RAM 2GB
HDD 320GB
SCREEN SIZE INCH 15
BATTERY IKO POA...
Moja ya bidhaa zetu zilinazo Fanya vizur sokoni IGIHA BODY CREAM inalainisha ngozi inatoa chunusi na madoa inang'arisha lakin haichubui, inaondoa chunusi mabaka na kukufanya uwe na rangi moja...
Habari wakuu Natafuta Chuma kimoja kiwe self-contained maeneo ya Mbezi Beach, Sinza au Makongo Juu...
Nyumba iwe ndani ya Fensi, Isiwe na wapangaji wengi kuepuka kupigizana kelele.
Bajeti...
Wakuu,...Nakaribisha maombi ya wadau wanaoomba kuandikiwa bank proposals, project proposals, business plans, business ideas na ushauri wa kibiashara katika sekta za elimu, jamii, kilimo, afya...
Habari za saizi wapendwa, Mimi ni mtanzania mwenzenu niliyebahatika kukua katika FAMILIA ya kiufugaji,(KUKU WA KIENYEJI).
Tuna kampuni yetu iitwayo SHITINDI POUTRY FARM AND HATCHER.
Hii kampuni...
Nataka za sample hizi zenye mic n k
Nikienda maduka mengi nakuta ambazo hazina mic
Kama hizi nitazipata wapi hapa bongo
na bei gani hizi?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.