zipalapwata
JF-Expert Member
- Oct 19, 2016
- 298
- 171
Vipi wadau, kama kuna mdau anayejuwa mashine za kukuna nazi zilipo nahitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Uvivu huo,Vipi wadau, kama kuna mdau anayejuwa mashine za kukuna nazi zilipo nahitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanx bro coz nataka niitumie kwa biashara piakama upo dar nenda soko la mwananyamala kuna mtu anayo anakunia watu kwa sh. 200 kila nazi ukimuuliza huyo atakuambia kanunua wapi
Njoo uchukuwe mikono yanguVipi wadau, kama kuna mdau anayejuwa mashine za kukuna nazi zilipo nahitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa Mkuu wangu