mgulu
Member
- Feb 14, 2015
- 74
- 34
Poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa.
Wakuu Mimi ni mjasiliamali mchanga sana narudia tena mjasiliamali mchanga sana, nahitaji vifungashio vya Mchele kuazia kilo moja, mbili, tano, na kumi kwa kuanzia ila sijui vinapatikana wapi na kwa gharama gani?
sana vikiwa transparent ...
Nipo Morogoro
Asante!!!
Sent using Jamii Forums mobile app