Tunauza kuku wa kienyeji, mayai, incubator na vifaranga

Aug 17, 2016
21
15
Habari za saizi wapendwa, Mimi ni mtanzania mwenzenu niliyebahatika kukua katika FAMILIA ya kiufugaji,(KUKU WA KIENYEJI).
Tuna kampuni yetu iitwayo SHITINDI POUTRY FARM AND HATCHER.

Hii kampuni inajihusisha hasa katika...

  • UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI.
  • UTOTOLESHAJI WA MAYAI.
  • UUZAJI WA INCUBATOR(MASHINE ZA KUTOTOLESHEA VIFARANGA).
  • UUZAJI WA VIFARANGA.
Zaidi tunatoa fursa za kutoa SEMINA za bure kabisa bila malipo ya aina yeyote kwa vikundi yva ujasiliamali na kwa mtu mmoja mmoja pia.


Zaidi ya yote madhumuni yangu ya kuja humu na kuandika jamb hili ni kwamba watu wengi na watanzania wenzangu jamb hili liwafikie, nimeiona watu wengi wakifanikiwa kupitia semina zinazoendelea mara kwa mara bilia kukoma.


kwa maelezo na mawasiliano tembelea blog yetu SHITINDI POULTRY FARM AND HATCHER

au kwa simu namba
  • +255 713 071 701
img-20160816-wa0084-jpg.384003
img-20160817-wa0021-jpg.384005
 
Nmetembelea blog yenu nmehamasika km ni kweli mnafanya hayo na co kuvutia biashara,mm nmeweka kuku nyumban ila sifugi,kupitia bandiko hili nmehamasika kufuga.,naomba mnijibu haya;vifaranga bei gan na mnaanzia wangap?inachukua mda gan kuvipata tangu nilipoweka oda?kwa mm ambae siko dar iyo elimu naipataje?thanks in advance.
 
kifaranga kimoja ni sh 1500, na ukiweka oder unapata baada ya siku 21, na kwa walio mbali huwa tunatoa elimu kwa wtsap, ni nji arahisi sana, maana naweza hata kukutumia picha.... 0713071701, namba yangu hiyo ya watsap.
 
Nashukuru sana mkuu,nilkuwa nasubr kwa hamu sana majibu japo hujataja mnaanzia wangap,nakuja wasap kwa maelezo zaid ikiwa ni pamoja na kuchukua hatua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom