Unataka awake bei hadharani akose nafasi ya kukupiga?Mkuu weka picha na details za tangazo lako. ikiwezekana hata bei weka. mambo ya kutafutana kwenye namba za simu ni baada ya hatua za awali.
Ni kweli, inakuwa ngumu kuweka picha kwani system inatofautina kulingana na urefu wa kisima, mahitaji ya kiasi cha maji yanayotakiwa na sehemu mradi ulipo.Mkuu weka picha na details za tangazo lako. ikiwezekana hata bei weka. mambo ya kutafutana kwenye namba za simu ni baada ya hatua za awali.
Hapa siyo kupigana ndg, ukiridhika na bei unafanya biahara na Mimi. Ziko bei tofauti tofauti zaidi ya 5000. Ili update bei kuna mahesabu yanafanyika baada ya kujua kiasi cha maji ynachotumia kwa siku, eneo ili kujua masaa ya jua, na urefu wa kisimaUnataka awake bei hadharani akose nafasi ya kukupiga?
Mimi kisima changu ni mita 60, kipo Dar es salaam na nahitaji si zaidi ya lita 500 kwa mpandisho mmoja, yaweza Kuwa bei gani mkuuNi kweli, inakuwa ngumu kuweka picha kwani system inatofautina kulingana na urefu wa kisima, mahitaji ya kiasi cha maji yanayotakiwa na sehemu mradi ulipo.
Ili kujua gharama ni budi nipate eneo mradi ulipo(kwa maana ya kujua masaa ya jua), kiasi cha maji utakayohitaji, na urefu wa Kisima.
Mpandisho mmoja unamaanisha lita 500 kwa saa au kwa siku? Tank ni la kiasi gani?Mimi kisima changu ni mita 60, kipo Dar es salaam na nahitaji si zaidi ya lita 500 kwa mpandisho mmoja, yaweza Kuwa bei gani mkuu
Weka pilot illustrations. Mtu aine hizo panels, pumbs na vitu vingine. Ilu kumshawish mtu si maneno tu.Ni kweli, inakuwa ngumu kuweka picha kwani system inatofautina kulingana na urefu wa kisima, mahitaji ya kiasi cha maji yanayotakiwa na sehemu mradi ulipo.
Ili kujua gharama ni budi nipate eneo mradi ulipo(kwa maana ya kujua masaa ya jua), kiasi cha maji utakayohitaji, na urefu wa Kisima.