Natafuta Chuma kimoja self-contained

Natafuta Chuma kimoja self-contained

lunatoc

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
2,908
Reaction score
5,507
Habari wakuu Natafuta Chuma kimoja kiwe self-contained maeneo ya Mbezi Beach, Sinza au Makongo Juu...

Nyumba iwe ndani ya Fensi, Isiwe na wapangaji wengi kuepuka kupigizana kelele.

Bajeti: 100,000

Kama una chumba Nicheki PM

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Dakika 7 - 10 kutembea mpaka Nyuki bus station
 
Habari wakuu Natafuta Chuma kimoja kiwe self-contained maeneo ya Mbezi Beach, Sinza au Makongo Juu...

Nyumba iwe ndani ya Fensi, Isiwe na wapangaji wengi kuepuka kupigizana kelele.

Bajeti: 100,000

Kama una chumba Nicheki PM

Sent From My Nokia Ya Tochi
Chuma cha pua au cha aina gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom