Kuandikiwa business proposal

Kuandikiwa business proposal

riltz

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
232
Reaction score
88
Wakuu,...Nakaribisha maombi ya wadau wanaoomba kuandikiwa bank proposals, project proposals, business plans, business ideas na ushauri wa kibiashara katika sekta za elimu, jamii, kilimo, afya, mazingira na ufugaji.

Kwa maelekezo zaidi ni PM Tupeane contacts. RilTz
 
mimi natafuta nipo seriuz ingefaA km ungewek na bei kuwa unaanzia ngapi mana nnapokuja PM nijue najilipuaje tusije kusumbuana..!!
6ef9f6ef1f823c37f73b92a4b812d33f.jpg
 
Back
Top Bottom