Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Hamjambo wakuu, bila kupoteza muda nahitaji kujua wapi nitapata duka linalouza hizi Staff Moka za kisasa nilizoambatanisha picha zake hapo chini. Zingatie bei iwe nafuu na sio bei zile za Mlimani...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Habari wakuu, Naomba mtu mwenye mpira wa kumwagilia maji wenye urefu wa mita 100, inchi 2 uliotumika lakini upo katika hali nzuri nataka kutumia kwenye pump yangu! Tuwasiliane PM
1 Reactions
1 Replies
7K Views
Zipo tani 25 za Tangawizi makambako . Natafuta Soko ambalo ntaziuza kwa pamoja. Kwa wanunuzi au anayefahamu Soko zuri naomba anifahamishe
0 Reactions
12 Replies
3K Views
I have honey in two appearance (1) Honeycomb (2) Honey Fresh It's natural and fresh from Hive Nina Asali ya masega na Asali Mchuzi (Yaani Asali kimiminika) . Ni Fresh na asilia toka kwenye...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Salaam! Waungwana nataka kufanya ufugaji wa kuku, lakini kuanzia nataka kupangisha mabanda. Hivyo mwenye banda la kuku amabalo linaweza kutosha kufugia kuku 500-1000 naomba ani PM. Nitafurahi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
MUHITAJI WA TILL TUWASILIANE Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Igiha shampoo kwa afya ya nywele zako,bei yake ni 3000 tu,Dar tunadeliver mikoani tunatuma,tuwasiliane 0717251523
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kuna mwenye kuhitaji kununua au kuuza kiwanja au Nyumba ndani ya JIJI la Mwanza na Viunga vyake wasiliana nasi upate mahali/sehemu yoyote jijin Mwanza. mawasiliano.0767791405/0789998398...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Jaman habarini za uzima wanajumuia wa jamiiforums, na product ya mahindi mabichi nategemea kuitoa mwezi wa kumi tarehe za katikati. Vipi hali ya soko huko, nahitaji wanunuzi. Naombeni ushauri ni...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Napenda kujua bei ya pili pili hoho sokoni maana mi ni mkulima na bado sijajua bei kamili ya kilo au gunia la pili pili katika masoko mbalimbali watalamu naomba msaada wenu Wa kuweza kujua na soko...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Automatic egg inkubator za mayain176 na 198 220 volt ni mpya Wasiliana na 0715308117 Inkubator 176 kwa 1 Inkubator 198 kwa 1,3
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kichwa kinajieleza; Nauza line husika kwa Tshs. 150,000/= tu, nipo SONGEA.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu. Ninauza shamba la kupanda miti/hasa miti ya mbao ( pines na mlingoti/eucalyptus) ekari 15. Shamba lipo maeneo ya Njombe Mjimwema,lipo KM 6 kutoka Njombe Petrol Station...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
UKIONA DALILI ZIPI UJUE SETI HII INAKUFAA: 1.Ngozi kua na alama au ramani za kuungua na jua 2.makovu au madoa yaliyoachwa na chunusi 3.Ngozi kufubaa 4.na mistari kama vile unaanza kuzeeka...
0 Reactions
0 Replies
672 Views
Phil-Nature Clean Air International Corporation (PNCAIC) is Looking for investors in TANZANIA, to import and be country distributors for our Special high Quality engine oil Additive that saves...
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Inawezekana una gari lako zuri na unalolipenda na ungependa liendelee kudumu na kukuletea matokeo mazuri ukiwa barabarani basi sisi ISECURE technology tunakuletea tracking technology mpya yenye...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari. Kwa karibu mwaka mmoja sasa tumekuwa tukitoa huduma ya security systems kama GPS tracker , security cameras , electric fence , access control systems. Leo nimeona niongelee kuhusu huduma...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Ziko vizuri sana, zimeshiba sound kukufanya uweze kusikia sauti zote zilizopo ndani ya muziki, kuanzia low ends - mid - high ends kwa utulivu kabisa. Pia zina sehemu ya kupokelea simu, na katika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…