Vitu vinauzwa, Mzani wa 10kg mpya na Mawe yake 110000/=
Binding machine 80000/=
Printer 60000/=
Vyote vinapatikana gongo la mboto
Mawasiliano: 0625 561339
nauza suzuki swift ikiwa kwenye hali nzuri sana na sifa zifuatazo
-Gear automatic
-Full AC
-Power windows
-ina Km 127,000
-haijawahi kupata ajali yoyote kubwa wala kupigwa rangi
bei ni mil 4.5 na...
Coaster mbili kwa ajili yaa kukodisha kubeba wanafunzi zinahitajika route ni kinyerezi to kimanga asubuhi na jioni Yenye rangi ya njano itapewa kipaumbele zaidi na kama haina rangi ya njano...
Asalam wakuu
Mwenye kingamuzi cha AZAM na anahitaji DSTV tuwasiliane tubadilishane. DSTV yangu bado mpya ni 2 month tangu kimenunuliwa utapewa na dishi lake complete kabisa..
Karibuni sana
Je unatamani kua mweupe? Yaani mwili mzima kua na rangi moja njoo tukuhudumie Igiha lightening body cream ndio mwisho Wa matatizo itakufanya uwe mweupe mwili mzima bila kukuachia sugu inaondoa...
itel Mobile ni kampuni ya masuala ya teknolojia na uvumbuzi ambayo imejikita hasa kwenye masuala ya utengenezaji wa simu tangu ianzishwe mwa 2007.
Kutoka mwaka 2007 mpaka sasa ni miaka 10...
Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa iko mwanamtoti kata ya kijichi ili ufike kwa urahisi unashukia kituo cha mission Mbagala,INA vyumba vitano,master moja,INA sebule,jiko dining,bafu na choo ndani, ina...
Jiko la gesi na umeme lina plate 4 plate tatu ni gesi na plate moja inatumia umeme kampuni ya west point ni used
Bei- 250,000
Location- dar
Mawasiliano- 0658183618
sent from Korea kaskazini
nauza suzuki swift ikiwa kwenye hali nzuri sana na sifa zifuatazo
-Gear automatic
-Full AC
-ina Km 127,000
-haijawahi kupata ajali yoyote kubwa wala kupigwa rangi
bei ni mil 4.5 na haipungui...
Habari kuna viwanja vingi tunaviuza maeneo ya kigamboni yale yale puna ambapo ni kilometer 37 kutoka ferry ya kigamboni na ni dakika 55 kwa gari mwendo wa kawaida.
Bei ya viwanja kwa square meter...
Wandugu salama?
Nahitaji Mbaazi ya Arusha tu, tani 100 haraka iwezekanavyo.
Nanunua kilo moja kwa shilingi 600, Dar es Salaam.
0659890000
fmlyimo@gmail.com
Tunamovie mpya series kali zakuenjoy weekend tunakupa soft copy ama hard copy kwa wanaohitaji. Ofisi ipo Lufungira opposite na kanisa la kakobe. mawasiliano 0656928075
Sent using Jamii Forums...
Wazee wa kazi salamu kwenu...mimi ngebo nakuja mbele yenu na swali moja tu nina mpango wa kununua ardhi huku Tanga ila nimeona nifanye utafiti kwanza, area nayoona inanifaa ni hale Tanga.
Je...
Nina viwanja 4 vyote vimepimwa kama Ramani inavyo onyesha katika picha
Baadhi ya viwanja vina mabanda na kingine kina banda na kisima hivyo ni wewe kuchagua Hata ukitaka kimoja njoo uchukue na bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.