Boss ivi huo waya ulio pembeni ndo charger yake au inakuaje hapoZiko vizuri sana, zimeshiba sound kukufanya uweze kusikia sauti zote zilizopo ndani ya muziki, kuanzia low ends - mid - high ends kwa utulivu kabisa. Pia zina sehemu ya kupokelea simu, na katika ubebaji zinakunjika kirahisi. bei yake ni Tsh 50,000/=
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo waya si charger, hizi hazina mfumo wa kuchaji, unaconnect tu na kifaa chako kinachotumia headphone na kujisikilizia yako na pia zina sehemu ya kupokelea simu, ukihitaji nicheck 0744717206Boss ivi huo waya ulio pembeni ndo charger yake au inakuaje hapo
Unapatikana wapi