Endesha gari lenye afya bora

usalama kwanza

JF-Expert Member
Oct 3, 2012
386
158
Inawezekana una gari lako zuri na unalolipenda na ungependa liendelee kudumu na kukuletea matokeo mazuri ukiwa barabarani basi sisi ISECURE technology tunakuletea tracking technology mpya yenye uwezo wa kugundu mapungufu/ugonjwa/matatizo ya gari lako .

Technology yetu itakusaidia kujua matatizo ya gari yako punde tu yatakapokuwa yanaanza ili uweze kabiliana nayo mapema kabla hayajawa makubwa, Faida ya kifaa hiki ni kuwa utaweza

i) Kujua ufanyaji kazi wa enjini ya gari lako na kama ina matatizo yoyote

ii) itakupa ripoti kama sensa katika gari lako litafanya kazi

iii) Utajua ufanyaji kazi wa gari lako.

iv) Itakusaidia kujua tatizo la gari na kulitibu kwa usahihi hivyo kupunguza gharama za mafundi vifaa na marekebisho yasiyo na lazima

v) jotoridi la gari, mafuta

Siku zote tunajitahidi kukupa huduma zaidi hivyo kifaa hiki kitakupa uwezo zaidi kama,

a) Kuweza kujua gari lako lilipo

b) Kuchagua ni eneo gani gari lako linaweza lifike au lisifike

c) Kujua kama gari lako limewashwa , limezimwa au kufunguliwa milango

d) Kujua matumizi ya mafuta ya gari lako na kama kuna wizi wa mafuta.

e) Kujua mtikisiko wowote ulilopata gari lako

f) kujua speed ya gari lako na mengineyo mengi

Nani anaweza weka tracking device hii

1. Mtu yoyote anayemiliki chombo cha usafiri hasa gari , iwe gari kubwa au dogo , pengine hata chombo kingine cha usafiri kama trekta, excavator , pikipiki

2. Kampuni yoyote au Makampuni yanayofanya bishara ya usafirishaji, kifaa hiki kitakusaidia katika utunzaji wa gari lako na kuzuia wizi wa mafuta

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0714890018
 
Inatumia mfuma wa hizi laini za simu au Satellite....kama ni Iridium satelite biashara ipo lakini kuna wapinzani FMS Africa LTD
 
mkuu kuna mambo na.maswali yanatakiwa uyaeleze na kunijibu kitaalaam.

kam lkn kama ww ni bwana masoko tuu unatangaza biashara ya hicho kifaa pita kushoto??

hayo mambo uliyoyaeleza hapo ni nueti sana naomba unambie kwa kifupi tuu hicho kifaa kinaitwaje?? na ukifunga unakifungaje ili kiweze kukupa taarifa hasa hizo za performance ya engine.

mfano sensor imekufa labda knock sensor je hicho kifaa kinachukuaje hiyo taarifa kutoka kwenye ECU na kutoa taarifa na je hiyo taarifa unaipataje?? au unaipata wapi
 
mkuu hembu fafanua kwa kina na mifano sehemu ya i,ii,iii,iv nahisi kama unaniacha njia panda.

na kama huto jali waweza taja aina ya hicho kifaa
 
Inawezekana una gari lako zuri na unalolipenda na ungependa liendelee kudumu na kukuletea matokeo mazuri ukiwa barabarani basi sisi ISECURE technology tunakuletea tracking technology mpya yenye uwezo wa kugundu mapungufu/ugonjwa/matatizo ya gari lako .

Technology yetu itakusaidia kujua matatizo ya gari yako punde tu yatakapokuwa yanaanza ili uweze kabiliana nayo mapema kabla hayajawa makubwa, Faida ya kifaa hiki ni kuwa utaweza

i) Kujua ufanyaji kazi wa enjini ya gari lako na kama ina matatizo yoyote

ii) itakupa ripoti kama sensa katika gari lako litafanya kazi

iii) Utajua ufanyaji kazi wa gari lako.

iv) Itakusaidia kujua tatizo la gari na kulitibu kwa usahihi hivyo kupunguza gharama za mafundi vifaa na marekebisho yasiyo na lazima

v) jotoridi la gari, mafuta

Siku zote tunajitahidi kukupa huduma zaidi hivyo kifaa hiki kitakupa uwezo zaidi kama,

a) Kuweza kujua gari lako lilipo

b) Kuchagua ni eneo gani gari lako linaweza lifike au lisifike

c) Kujua kama gari lako limewashwa , limezimwa au kufunguliwa milango

d) Kujua matumizi ya mafuta ya gari lako na kama kuna wizi wa mafuta.

e) Kujua mtikisiko wowote ulilopata gari lako

f) kujua speed ya gari lako na mengineyo mengi

Nani anaweza weka tracking device hii

1. Mtu yoyote anayemiliki chombo cha usafiri hasa gari , iwe gari kubwa au dogo , pengine hata chombo kingine cha usafiri kama trekta, excavator , pikipiki

2. Kampuni yoyote au Makampuni yanayofanya bishara ya usafirishaji, kifaa hiki kitakusaidia katika utunzaji wa gari lako na kuzuia wizi wa mafuta

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0714890018

Asante kwa taarifa
 
Inatumia mfuma wa hizi laini za simu au Satellite....kama ni Iridium satelite biashara ipo lakini kuna wapinzani FMS Africa LTD
naelewa kuhusu upinzani uliopo katika lakini katika soko tunaongoza kwa kutoa huduma bora , huduma za nyingi zaidi na gharama nafuu , vifaa vyetu vina uwezo zaidi kushinda competitors wengine katika soko. Unaweza pitia nyuzi zangu nyengine kupata maelezo . Asante sana kwa mchango wako ndugu
 
mkuu hembu fafanua kwa kina na mifano sehemu ya i,ii,iii,iv nahisi kama unaniacha njia panda.

na kama huto jali waweza taja aina ya hicho kifaa
Ndugu inaonekana uko karibu sana na magari, lakini nachelea kufunguka hapa sababu kifaa ni cha usalama zaidi sasa sio vizuri kusema kinafungwa wapi na jinsi gani kinafanya kazi isipokuwa kama kweli utahitaji tutakufungia , lakini kwa jinsi unavyoandika naamini kabisa unajua ninacho ongelea na hauko mbali na unavyofikiria , siku ukihitaji tutakupa maelezo yote kwa kadiri utakavyokuwa unahitaji
 
jibu maswali mkuu wacha kupiga chenga mzee.
mfano majibu ya hivyo vipengele hapo juu unashindwaje kujibu unaficha nn??

maana umeongelea vitu ambavyo ni mhim sana kuwa kitakupa taarifa ya gari yako inapoharibika au sensor kufa so elezea itakupa taarifa kivipi??
 
naelewa kuhusu upinzani uliopo katika lakini katika soko tunaongoza kwa kutoa huduma bora , huduma za nyingi zaidi na gharama nafuu , vifaa vyetu vina uwezo zaidi kushinda competitors wengine katika soko. Unaweza pitia nyuzi zangu nyengine kupata maelezo . Asante sana kwa mchango wako ndugu
Je? ni bei nafuu kiasi kwamba naweza ifunga katika boda boda na ikanilipa?
 
jibu maswali mkuu wacha kupiga chenga mzee.
mfano majibu ya hivyo vipengele hapo juu unashindwaje kujibu unaficha nn??

maana umeongelea vitu ambavyo ni mhim sana kuwa kitakupa taarifa ya gari yako inapoharibika au sensor kufa so elezea itakupa taarifa kivipi??
Unajua hii sio tu swala la kifundi ni swala la kiusalama pia , kwahiyo maelezo mengine utayapata pale utakapokuwa unahitaji kuwekewa kifaa na utalipia pale utakapo ona umeridhika na kwa kazi inachofanya kifaa. Unaweza fuatilia threads zangu mara zote najibu maswali yote ninayoulizwa lakini kwa hili nachukulia tofauti kidogo.
 
kwa huduma bora za vifaa vya usalama vya kisasa kama electric fence, cctv camera, Automatic gates, car tracking systems, Intruder alarms, fire alarms , Access control system tupigie 0714890018 .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom