Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Eneo linapatikana Temeke Usalama njia ya kwenda Mwembeyanga Plot.namba 26,lina ukubwa wa Sqm 465,mtaa wa evaret kwa bei ya Sh.milioni 450.Eneo ni zuri sana na kwa sasa linatumika kwa ajili ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naiuza iPhone 6 yenye 128 gb kwa tsh laki 7 tu, location Dar es Salaam. Phone condition: Good ipo na finger print pia Bei ni fixed haipungui Kwa seriously buyer tafadhali ni PM haina tatizo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Kuna mama mmoja ameniomba nimtafutie mwamvuli kwa ajili ya kumkinga na jua katika biashara yake anayofanyia pembezoni mwa barabara, kutokana na majira ya sasa jua kali. Kwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, natafuta battery ya iPhone 4s. Ya kwangu haikai na chaji sana. Yeyote anayeweza kuwa anauza battery mpya ya iPhone anapm.
0 Reactions
5 Replies
982 Views
Chicken layer cages mpya na imara zaidi Cage yenye uwezo wa kuchukua vifaranga idadi 400 ni 460,000/-Tshs. Cage yenye uwezo wa kuchukua kuku wa mayai idadi 128 ni 1,300,000/-Tshs Cage yenye uwezo...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Bei ya mashine ya EEG na Phototherapy machine
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Vitu vinauzwa, Mzani wa 10kg mpya na Mawe yake 110000/= Binding machine 80000/= Printer 60000/= Vyote vinapatikana gongo la mboto Mawasiliano: 0625 561339
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nauza suzuki swift ikiwa kwenye hali nzuri sana na sifa zifuatazo -Gear automatic -Full AC -Power windows -ina Km 127,000 -haijawahi kupata ajali yoyote kubwa wala kupigwa rangi bei ni mil 4.5 na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Coaster mbili kwa ajili yaa kukodisha kubeba wanafunzi zinahitajika route ni kinyerezi to kimanga asubuhi na jioni Yenye rangi ya njano itapewa kipaumbele zaidi na kama haina rangi ya njano...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Asalam wakuu Mwenye kingamuzi cha AZAM na anahitaji DSTV tuwasiliane tubadilishane. DSTV yangu bado mpya ni 2 month tangu kimenunuliwa utapewa na dishi lake complete kabisa.. Karibuni sana
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Je unatamani kua mweupe? Yaani mwili mzima kua na rangi moja njoo tukuhudumie Igiha lightening body cream ndio mwisho Wa matatizo itakufanya uwe mweupe mwili mzima bila kukuachia sugu inaondoa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
itel Mobile ni kampuni ya masuala ya teknolojia na uvumbuzi ambayo imejikita hasa kwenye masuala ya utengenezaji wa simu tangu ianzishwe mwa 2007. Kutoka mwaka 2007 mpaka sasa ni miaka 10...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Salaaam. Viti vya aina hii vinauzwa bei nafuu ya elfu kumi na tano kwa kila kimoja tunapatikana Mbeya mawasiliano 0766728326.
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Engine 1HZ, Year 2000, Haijawahi pata ajali. Tairi zimeisha na vibali pia vimeisha. BEI 35M Call 0624688827
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa iko mwanamtoti kata ya kijichi ili ufike kwa urahisi unashukia kituo cha mission Mbagala,INA vyumba vitano,master moja,INA sebule,jiko dining,bafu na choo ndani, ina...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimenunua friji kubwa zaid Linafanya kazi vizuri tu Bei:150,000 Napatikana kinondoni vijana. 0673206639
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Friji used Made from Britain Juu fridge, chini freezer Tunapatikana Dar es Salaam, Salasala 0672858091
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Jiko la gesi na umeme lina plate 4 plate tatu ni gesi na plate moja inatumia umeme kampuni ya west point ni used Bei- 250,000 Location- dar Mawasiliano- 0658183618 sent from Korea kaskazini
1 Reactions
12 Replies
11K Views
nauza suzuki swift ikiwa kwenye hali nzuri sana na sifa zifuatazo -Gear automatic -Full AC -ina Km 127,000 -haijawahi kupata ajali yoyote kubwa wala kupigwa rangi bei ni mil 4.5 na haipungui...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari kuna viwanja vingi tunaviuza maeneo ya kigamboni yale yale puna ambapo ni kilometer 37 kutoka ferry ya kigamboni na ni dakika 55 kwa gari mwendo wa kawaida. Bei ya viwanja kwa square meter...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Back
Top Bottom