JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 584
- 276
Habarini wana jf, leo nimeona niwashirikishe mafunzo mazuri ya Ujasiriamali yatakayokupa maarifa yakuweza kumudu biashara na shuhuli nyengine za kukuingizia kipato.
Kumbuka katika mafunzo haya huendi kujifunza jinsi ya kutengeneza subuni,shampoo, batiki, tomato sauce n.k hapana, hayo ni mambo ambayo yashafundishwa sana lakini wengine wamejikuta wakiyaacha katika madaftari au wakifanya siku mbili na kushindwa kuendelea nazo kwa kukosa maarifa halisi ya Ujasiriamali.
Mafunzo ni miezi 3, Kuanzia October 1, na yatakua online kupitia whatsapp group ili kila mtu popote aweze kushiriki na mwisho wa Mafunzo pamoja na maarifa utakayoyapata Lakini pia washiriki watapatiwa vyeti vyenye kutambulika.
Kila mshiriki hatua ya kwanza atapatiwa form ambayo ataijaza online na kuirudisha kwetu na form hii itagharimu TSh 10,000 tu baada ya hapo hakutakuwa na malipo mengine yoyote kwa miezi 3 utasoma bure.
Mafunzo yameandaliwa kitaalamu kwa mtindo wa modules na washirika wote watapatiwa kitabu chenye modules zote.
Kwa maswali ya ziada na maelezo mengine ya kina juu ya program hii ambayo inaendeshwa kwa awamu ya pili sasa baada ya awamu ya Kwanza kuisha unaweza kujiunga katika link hii hapa chini ya WhatsApp group ili uuulize mengi na ujifunze mengi ambayo hatujayaeleza hapa karibu sana.
MAFUNZO YA UJASIRIAMALI