poa mtoto mzuriMmmh ngoj wanunuz waje
Carpet la manyoya pcha yake nzr weka na n sh ngappamoja na godoro lake mkuu? anyway bei inapungua, karibu boss
karibu mkuu tufanye biasharaiyo meza na office chair nimeipenda sana
Mkuu hongera kwa kujitahidi kuugawa mwezi wa Saba japokuwa ndio hivyo unarudi Kijiji.50k mkuu, punguzo lipo
hiki kipindi cha SIZONJE tutaona mengi ya chini ya kapeti.Nauza kitanda na godoro lake6x4 180,000/=
![]()
Nauza meza ya miguu ya chuma na viti 3 kimoja ni office chair 150,000/=
![]()
Nauza kochi kubwa la watu 3 bei 130,000/=
![]()
Feni 40,000/=
![]()
stand ya kutundikia vitu, kapeti la manyoya, na kitenga cha kuwekea vitu bei vyote 80,000/=
![]()
![]()
![]()
Pia kuna jaba moja la kuhifadhia maji litre 160 bei 30,000/=
Karibuni tabata, anyehitaji anichek hapa 0626852910 punguzo lipo.
Karibuni.
hapana mkuu bei ya kawaida tuu, ila maongezi yapoUnauza bei ya dukani
mito nabakia nayohiki kipindi cha SIZONJE tutaona mengi ya chini ya kapeti.
mbona makochi yako hayana mito? umeshauza mito mapema?