Wanao penda Noah tukutane apa

Jul 6, 2017
8
1
Noah road tour ya model 1999 yenye detail zifwatazo
Engen 3s
Cc1998

Katika noah zote hii ndo model imara sana kulipo model zote

Inaweza kibeba watu hadi kumi na mbili

Ina music system yeny tv ya nchi 10

Pia ina air condition nzuri ambayo haitii mafua

Gari haidaiw chcht kile ipo complete inasubiri safari

Haijawai kupata ajali wala kurudiwa rangi

Haijawai kufunguliwa engen

Kama unataka kuja kuikagua njoo hata na fundi
Nipigie 0718017711
0718017711
@hancy_magari_mazuri
a1050f4c07fe3e890fe78dced831caf4.jpg
33de60cc63c5b0dfcd5fa80d50e6896b.jpg
ba2764c410c15ac11bd4187c40f4b191.jpg
0cf5878e43a42eef7949678785e75a28.jpg
98c176fa54e076d3cfefc66f56e7aeba.jpg
e247f3acd24dc760b293ebc9c5b19bde.jpg


Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
....tumeiona!..taja bei!

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom