Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

New arrived Original perfumes and EAU DE TOILETTE from USA Call/WhatsApp 0713662655 dar
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Imesomeka vizuri hapo juu wadau, injini ya skygo pikipiki inahitajika kwa ajili ya Ku fix kwenye Honda 110 .Mwenye nayo au anayejua bei na wapi ziliko anijuze Nawasilisha wakuu wangu
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kwa wenye Maduka makubwa(Supermarkets) na Maduka madogo na ya kati(Minisupermarkets) na pia kwa walaji wa Nyumbani Zabibu freshi toka Dodoma zinapatikana zikiwa packed kabisa Na kwa wanaohitaji...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Nauza CD ya PlayStation 4 FIFA16 40,000/ tu 0713662655
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Space Grey 16GB 4G 400k Maelezo zaidi njoo pm.
0 Reactions
1 Replies
790 Views
Nipo dar kkoo/kigamboni ninahitaji friji BOSS mpya/isiwe used hata kama sijui japan size ya kati milango miwili juu frezer budget 400000 kwa mwene biashara ni PM Asante.
0 Reactions
1 Replies
724 Views
Hello! Bandugu naomba km kuna mtu aweza kuwa na mashine ya kuuzia juisi (Juice Despenser) iwe kubwa kidogo anitafute pia kama unajua unaweza kunisaidia namna rahisi ya kuipata niko dsm. Hasa bei...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu Salaam., nikiwa katika maandalizi ya mama watoto ambaye ni mjamzito, Nahitaji gari tajwa hapo juu,namba D.,kutoka kwa mwenye mali. mwenye nayo ani PM niseme nae vizuri. Budget kwa sasa ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
.
0 Reactions
3 Replies
733 Views
.
0 Reactions
0 Replies
587 Views
Habari ni wakuu,poleni na majukumu ya hapa na pale ya kulijenga taiga Ninahitaji simu Bajeti 200; Samsung J,S,note,zitapewa kipaumbele Asante
0 Reactions
2 Replies
810 Views
Mimi ni me Elimu ni chuo Course IT Cheti diploma natafuta Kazi mshahara ata kuanzia laki 2 au 250 sawa Niko vizuri kwenye maswala ya compture.
0 Reactions
4 Replies
964 Views
Habari wakuu,nahitaji sim tank LA Lt 5000 ,nipo mza,nashukuru kwa ushirikiano
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni aina ya Huoniao HN 125, IPO kwenye hali nzuri imetembea 20,000 km, bei maelewano
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Rejea kichwa cha habar hapo juu. Chumba sebule choo chake kipo vizur kina tiles bei yake 200,000 kwa mwezi. Pia ipo kubwa vyumba viwili choo chake na sehemu ya jiko. Bei yake 300,000/- kwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Scarf za kisasa unaweza ukafunga kichwani unaweza kufunga kama hijabu na unaweza kufunga kama inavyoonekana hapo jumla 7500 rejareja 12000 Kwa mawasiliano 0717251523 / 0654622685
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau, Natafuta eneo la wazi la kuuzia chakula preferably posta. Ila ikishindikana kabisa hata kariakoo. Liweze kuruhusu angalau meza 10 za plastiki na eneo kubwa kwa ajili ya jiko na...
0 Reactions
1 Replies
968 Views
Habari wakuu. Nina mgonjwa wa kisukari.Natafuta REPLACE nutrional supplements ili impe nguvu.Naipata wapi?
0 Reactions
0 Replies
555 Views
Back
Top Bottom