Viwanja Vya Kupima Mil 4 Kigamboni Yale Puna

Viwanja Vya Kupima Mil 4 Kigamboni Yale Puna

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
765
Reaction score
490
Habari kuna viwanja vingi tunaviuza maeneo ya kigamboni yale yale puna ambapo ni kilometer 37 kutoka ferry ya kigamboni na ni dakika 55 kwa gari mwendo wa kawaida.

Bei ya viwanja kwa square meter ni sh 10,000= hivyo viwanja ambavyo ni vidogo ni square meter 400 ila vipo pia vyenye ukubwa mpaka square meter 1500, ni uwezo wako tu.

Viwanja kutoka barabara kuu ni meter 100 , umeme upo pamoja na maji na mji unakua na watu wengi wameshajenga na kuhamia.

Viwanja vyote vimepimwa kisheria na full documents, SURVEY PLOT NO 1-195, BLOCK L ,YALE YALE PUMA, TEMEKE DSM,

UTAUZIWA PAMOJA NA HATI YENYE JINA LAKO KISHERIA, UNAWEZA KUJA NA MWANASHERIA WAKO PIA
Picture3.png
Picture4.png
 

Attachments

  • Picture6.jpg
    Picture6.jpg
    23.4 KB · Views: 116

Similar Discussions

Back
Top Bottom