2007 Toyota Coaster for sale

mmjunior

Member
Nov 1, 2010
20
1
Habari zenu wana JF, Toyota Coaster inauzwa.
Imported from Dubai and first registered in Tanzania in 18/01/2010. HZB Engine with 4163 cc.
Gari inatembea na inatumika kama daladala Makumbusho-Kivukoni, Haina tatizo lolote.

Bei ni 25,000,000/= inapungua kidogo
Dalali hatakiwi
Mawasiliano ni 0713662251

09082012676.jpg 09082012671.jpg 09082012673.jpg 09082012675.jpg
 
Habari zenu wana JF, Toyota Coaster ya mwaka 2007 inauzwa.
Imported from Dubai and first registered in Tanzania in 18/01/2010. HZB Engine with 4163 cc.
Gari inatembea na inatumika kama daladala Makumbusho-Kivukoni, Haina tatizo lolote.

Bei ni 25,000,000/= inapungua kidogo
Dalali hatakiwi
Mawasiliano ni 0713662251

View attachment 61351 View attachment 61352 View attachment 61353 View attachment 61354

Hilo basi haliwezi kuwa la mwaka 2007 angalia vizuri mwaka na urekebishe!

kudadeki wabongo wabishi ,,,,sorrry lakini.....nyie ndio wale mnawezaa kataa wazazi kwa ubish usio na maslahi

Hiyo ni Toyota coaster second generation, sasa hivi kuna third labda na kuendelea, hivyo second generation haiwezi kuwa ya 2007 ongea unavyotaka lakini mwisho siku huo mwaka sio wake!
 
kudadeki wabongo wabishi ,,,,sorrry lakini.....nyie ndio wale mnawezaa kataa wazazi kwa ubish usio na maslahi

Acha ubishi kwenye biashara. Hata wewe unajua hii si ya 2007 - labda useme imeingia 2007. Hii ni shepu ya zamani
 
sasa mapovu ya nini fika bei nyie ndo wale wabongo mnajadili maisha ya watu wakati wewe ata mwanao akujui/ajui lf style yako
 
Babuu - ndio maana ya forum watu wanaeleweshana na kurekebishana ww baki tu na majungu ya zamani!!
 
Jamaa kasema ni ya 2007 na bongo imekuja 2010 ndo mana nawapinga.no reseach no right to ... Tukubaliane na mleta uzi mbona kuna toyota stout ya 1999 imeingia bongo mwaka jana
 
Wakuu haina haja ya kubishana sana, hii gari ni ya mwaka 2007 sema nimesahau kupiga picha kadi yake, nitaiweka hapa nikate mzizi wa fitna.
Sasa kwa mfano ukiambiwa hii raum hapa ni ya 2003 utabisha pia? Model za kuanzia 2003 za raum si mnazijua, sasa hii imekuaje?
 
Nakwambia hivi labda kama imetengenezwa kwingine na sio Toyota coaster, lakini kama ni Toyota Coaster ya kampuni ya Toyota ya Japan haiwezekani ikawa ya 2007, lazima kuna mtu kachakachua hapo kati kati, kumbuka magari yanatengenezwa kwa generation (toleo), na hilo ni generation au toleo la pili ambalo limeisha miaka ya tisini likafwatiwa na la tatu, kwa hiyo HAIWEZEKANIl labda kama sio ya Toyota Japan!

Kama unataka kujihakikishia kasome kwenye engine utaona mara moja!
 
Wakuu haina haja ya kubishana sana, hii gari ni ya mwaka 2007 sema nimesahau kupiga picha kadi yake, nitaiweka hapa nikate mzizi wa fitna.
Sasa kwa mfano ukiambiwa hii raum hapa ni ya 2003 utabisha pia? Model za kuanzia 2003 za raum si mnazijua, sasa hii imekuaje?
mwaka wa gari una umuhimu gani kwenye hii gari ambayo tayari ipo nchini na kwa muonekano bado ni nzuri/nzima? Kwa maana nyingine mwaka iliyotengenezwa hauna effect kwenye bei au sijui dumping fee au kitu kingine chochote.
 
Hilo basi haliwezi kuwa la mwaka 2007 angalia vizuri mwaka na urekebishe!

Coaster za model hii ni za kuanzia mwaka 1988 hadi katikati mwa 1990. Ushahidi uko hapa, hapa na hapa. Kuanzia miaka ya 1990 katikati kuja 2000s, coaster zinazotoka ni za model nyingine kabisa

mwaka wa gari una umuhimu gani kwenye hii gari ambayo tayari ipo nchini na kwa muonekano bado ni nzuri/nzima? Kwa maana nyingine mwaka iliyotengenezwa hauna effect kwenye bei au sijui dumping fee au kitu kingine chochote.
hapa swala ni kwamba ameleta viambatanisho ambavyo SIO vya ukweli, kama unaona hilo halina tatizo hayo ni maoni yako yanaheshimika! lakini kwangu mimi ukweli ni muhimu katika kila kitu, sasa kama mwaka umedanganywa, ameishia hapo tu au yapo mengine zaidi?
Ni kama mtu unataka kuoa au kuolewa unakujagundua kumbe mchumba wako ana mtoto lakini alikuficha, kwa kawaida nitajiuliza huyu kanificha hili tu au kuna mengine!

Wakuu haina haja ya kubishana sana, hii gari ni ya mwaka 2007 sema nimesahau kupiga picha kadi yake, nitaiweka hapa nikate mzizi wa fitna.
Sasa kwa mfano ukiambiwa hii raum hapa ni ya 2003 utabisha pia? Model za kuanzia 2003 za raum si mnazijua, sasa hii imekuaje?

..Ebu ziangalie Coaster za Mwaka 2007, Toyota / Coaster - Japanese used cars exports and Japan car import / 2007 ,ndipo ujue kuwa hiyo yako ni ya 90s.http://www.tradecarview.com/used_car/japan car/toyota/coaster/?fid=1990&jid=1992&so=7.
 
Ninayo Coaster kama hii,
Ukweli hua tuna peleka tarehe/mwaka mbele ili tuweze kupata usajili wa Sumatra kwani wanahitaji isiwe na miaka zaidi ya 10.

Inabidi mumuelewe muuzaji kua kuanika kitu kama hiking hadharani kisha aka-declare kwamba iko above 10years inamaanisha alifoji Sumatra so haijakaa poa kwake.

Ingawa kudanganya kwamba ni ya 2007 nayo haijakaa poa kwetu so conflicts of interest arise.

So nunua ukiujua ukweli huu!!
 
hapa swala ni kwamba ameleta viambatanisho ambavyo SIO vya ukweli, kama unaona hilo halina tatizo hayo ni maoni yako yanaheshimika! lakini kwangu mimi ukweli ni muhimu katika kila kitu, sasa kama mwaka umedanganywa, ameishia hapo tu au yapo mengine zaidi?
Ni kama mtu unataka kuoa au kuolewa unakujagundua kumbe mchumba wako ana mtoto lakini alikuficha, kwa kawaida nitajiuliza huyu kanificha hili tu au kuna mengine!

Mkuu kwani we offer yako ni kiasi gani? Maongezi yapo.
 
Kazi ipo ile Coaster ni mwaka 1992 au 1994 si zaidi ya hapo! Gari ya mwaka 2007 sio hiyo na wala haziko hivyo!!!
 
Back
Top Bottom