Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
Wanunuzi serious wanipigie bei ya kutupa bus Kama lilivyo kwenye picha limeshalipiwa ushuru na kila kitu.
Simu: 0625249605
Simu: 0625249605
Picha iko wapiWanunuzi serious wanipigie.
Bei ya kutupa. Bus Kama lilivyo kwenye picha. Limeshalipiwa ushuru na kila kitu.
Wanunuzi serious wanipigie.
Bei ya kutupa. Bus Kama lilivyo kwenye picha. Limeshalipiwa ushuru na kila kitu.
Dah.....Sie wapenda Sweden tumekuja mbio af hakuna picha dah
Hakuna picha bhna
Picha iko wapi
Inasumbua balaa hiyo basi.... imara coach hiyoRangi zake kama ile bus IMARA coach ya dar Dodoma. Rear engine sio?
Ndio. Hatujaona usumbufu wake.Inasumbua balaa hiyo basi.... imara coach hiyo
Na hapo ilikuwa ndo imeingia tanzania vioo vikiwa sealed, sasa ni vya kufungua walifanya modification.Inasumbua balaa hiyo basi.... imara coach hiyo
Inasumbua huduma au?Inasumbua balaa hiyo basi.... imara coach hiyo
Yes. Imetumika miezi miwili.Na hapo ilikuwa ndo imeingia tanzania vioo vikiwa sealed, sasa ni vya kufungua walifanya modification.
Yes. Unaifahamu vizuri.
Anyway sikutaka kuharibu biashara yako mkuu lakini kiukweli hii bus naipata vizuri sana....kuna haja ya kuchange maelezo hapo juu!! Mpaka dakika hii tunazungumza gari ipo Maeneo ya berega Morogoro Dom road imetaga. Thou hata ukisema unaiuza wapo watundu wa kuchange engine kuileta mbele na ikapiga kazi vilivyo..mfano Arusha express ana marcopolo alichukua kwa Scandinavia zilikuwa engine nyumba nw ni engine mbele na inapiga mbeya Arusha. Wengi sana wanaitamani hii gari na naweza kukulink na waliokuwa wanaizungumzia sana kuitakaInasumbua balaa hiyo basi.... imara coach hiyo
Ndio. Hatujaona usumbufu wake.
Anyway sikutaka kuharibu biashara yako mkuu lakini kiukweli hii bus naipata vizuri sana....kuna haja ya kuchange maelezo hapo juu!! Mpaka dakika hii tunazungumza gari ipo Maeneo ya berega Morogoro Dom road imetaga. Thou hata ukisema unaiuza wapo watundu wa kuchange engine kuileta mbele na ikapiga kazi vilivyo..mfano Arusha express ana marcopolo alichukua kwa Scandinavia zilikuwa engine nyumba nw ni engine mbele na inapiga mbeya Arusha. Wengi sana wanaitamani hii gari na naweza kukulink na waliokuwa wanaizungumzia sana kuitaka