Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu wadau nauza nyumba iliyopo maeneo ya mbagala mwanamtoti nyumba ina vyumba vitatu bei ni million 75 kwa mawasiliano zaidi piga namba 0715377241 picha nazileta.
0 Reactions
3 Replies
970 Views
Namba ufafanuzi wa kampuni inayoitwa VIGUTA wamesema wanatao huduma ya kukujengea nyumba kwa gharam tofaut. Namba ufafanuz kwa wanao Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Kama unahitaji nguo za kike jumla na Rejareja kwa Dar Unaletewa hadi ulipo mkoani unatumiwa ukipenda unalipia tupigie 0713 114394
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Nikon D300s inauzwa pamoja na lens mbili 18mm hadi 135 na nyingine 55 hadi 300, ina photogrip,charger moja na betri moja bei 1,500,000
0 Reactions
4 Replies
929 Views
Nahitaji external dvd driver kwa ajili ya laptop. Nipo korogwe-tanga ,.
0 Reactions
1 Replies
718 Views
Coffee plantation for sale with plantation= with title deed == price is negotiable== location east Africa Tanzania we have small scales plantation we have larger scales plantation for sale and...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Haloo,kwa wana Jf ninahitaji laini mbili za uwakala wa Mpesa kwa mwenye nazo anicheki kwa namba zifuatazo hapa chini 0753263069 Niko kagera,wilaya ya kyerwa.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wanajamvi. Ninauza moisture meter ya kisasa ya kupima nafaka. Inafaa kwa wafanyabiashara wa nafaka, wakulima na vyuoni kwa ajili ya ya kujifunza. Ina accessories zote pamoja user manual...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wajasiliamali wenzangu. Ninashamba la mihogo tupu kama hekari tano5 nilisikia kua wachina wanahitaji mihogo kutoka kwetu tanzania mwenye connection naomba ani connect na hao wachina...
1 Reactions
1 Replies
822 Views
Karibuni sana katika ufugaji wa nguruwe nina banda kubwa la mabanzi bagamoyo kiromo lenye tayari umeme wa solar na maji ya kisima na tank lenye litre 5000ltr.vijana wawili wenye ujuzi wa ufugaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenye uhitaji wa line ya M-PESA (TIL) tuwasiliane kwasasa niko mbeya ila kuanzia tarehe 15 ntakua dar es salaam.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
samsung galaxy s7 edge for sale 32gb,4G LTE colour:silver titanium 750k pm for more details
0 Reactions
3 Replies
933 Views
*LINE YA UWAKALA - TiGO PESA* *>Line ipo secure na utaunganishwa na wakala mkuu anayeihudumia* *>Location - Dar es Salaam* *>Bei - 120,000/=* *>Kwa maswali au maelezo zaidi contact;* ☎...
0 Reactions
0 Replies
935 Views
Kesho nitakuwa mjini niki fanya deliver ya cover sofa set Kuanzia SAA 5asbh Kuweka oder yako wahi oficine tabata asbh Au weka oder kupitia 0713691101 iko hewani 24/7 pia kwa picha zaidi njoo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Plot inauzwa ipo Bahari beach mwaitenda road size plot 2400 sqm Bei 185ml kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa +255756060183
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauza pikipiki aina ya Boxer MC 662 BMC Rangi yake (Black) Bei yake ni 1400,000 Tsh. (Milion moja na laki nne) *Ina vibali vyote kadi pamoja na bima. *imetumika miezi tisa kwa matumizi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Make : Toyota Model : Coaster Mileage : 317,503km Engine size: 4,160cc Gasoline : Diesel Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Manual M/Year : 2000 Doors : 2 Seats : 29...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
MUHITAJI ANI PM ZIKO SALAMA NA VIBALI VYOTE VIPO.KAMA HAUTOJALI NI VYEMA TUKAONANA.KWA WALIOKO DAR KUNA NDUGU ZANGU NAWEZA KUKUUNGANISHA NAO.
0 Reactions
1 Replies
826 Views
Specifications Core i3,,procesor 2gb,,ram 8gb HDD 1tera,,,hp product Bei 500,000/= Imetumika kwa muda mfupi, iko ktk hali nzuri. Napatikana Dar, alie tayari ni PM.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habar wakuu. Nahitaj kununua UPS ya computer pamoja na stabilizer ila sijajua mahali naweza ipata kwa urahisi hapa dar es salaam. Pia nikijua na bei zake itakuwa vizuru sana. Nawasilisha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom