Chumba (master) na sebule vinahitajika

Chumba (master) na sebule vinahitajika

Joined
Sep 8, 2017
Posts
59
Reaction score
266
Habari kama kichwa kinavyojieleza inahitajika nyumba yenye chumba chenye choo ndani pamoja na sebule maeneo ya (ubungo - mawasiliano)

contacts: 0717 351717 au 0782 789980

Ngoja waje wenye nyumba zao,mimi nikikuonyesha sio bure.
 
Nimeandika nikikuonyesha lazima unanilipa pesa ya kunitoa nyumbani hadi kwenye hio nyumba,ukiipenda unanilipa kodi ya mwezi mmoja,sio lazima ni maamuzi yako.

Ni mara chache wenye nyumba kuona tangazo la mtu anaetafuta nyumba ya kupanga.
 
bei ya kawaida isizidi 45000/- kwa mwezi.
 
Nyumba ipo masaki,

Chumba master (ila choo hakina mlango), sebule (kuna nguzo katkat), jiko (2m×1m), juu gypsum, chini tiles, fence (tofali kozi 2), parking ipo (ila gari haifiki)

Bei 4,500 kwa siku. Ilipwe ya kuanzia siku 180. Njoo PM
 
Una utani na watu mzee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1]
Nyumba ipo masaki,

Chumba master (ila choo hakina mlango), sebule (kuna nguzo katkat), jiko (2m×1m), juu gypsum, chini tiles, fence (tofali kozi 2), parking ipo (ila gari haifiki)

Bei 4,500 kwa siku. Ilipwe ya kuanzia siku 180. Njoo PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom