Nauza tablet aina ya viwa t2 3g macbook

Nauza tablet aina ya viwa t2 3g macbook

Fundi umeme

Senior Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
116
Reaction score
24
Husika na kichwa cha habari hapo juu nauza Simu tajwa hapo juu Simu ni sawa na mpya kabisa kwani imetumika miezi 3 tu na sababu ya kuuza ni sababu za kiuchumi Simu ina charger Yake original,ina kava lake original,ina box lake pamoja na kitabu chake Na bei ya kutupa kabisa yaani tsh 180,000 upungufu unapatikana kwa mawasiliano 0753 505115,0715505115 au 0689330820.

IMG_20170929_080733.jpg
IMG_20170929_080738.jpg
IMG_20170929_080800.jpg
IMG_20170929_080747.jpg
IMG_20170929_080722.jpg
 
Na mimi naungana na huyu fundi ninayo yangu ni techno 8H..ina miez sita.bei laki moja tu ila inahitaj kutengenezwa display.haina cover.chaji orijino,earphone ipo
 
Back
Top Bottom