Jipatie business plan

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,347
2,049
Habari wakuu.
Kama wasemavyo wahenga 'ukishindwa kupanga, basi umepanga kushindwa' .Pia kitaalamu unapotaka kufanya jambo lenye athari na maisha yako lazima uwe na mpango maalum kwani mpngo mbovu ni bora kuliko kukosa mpango kabisa.
Nimefanya Tafiti juu ya kiwanda cha mafuta ya alizeti na kuja na mpango wa biashara kama ufuatao:

Business plan hii inalenga kufanya mapinduzi toka mafuta haya ya viwandani kuja mafuta ya asili ya Alizeti au karanga.Utangulizi imeelezea summary ya mtaji unaohitajika, mauzo tarajiwa na mapato tarajiwa, ambapo target market yangu ilikuwa shule 9 za Boarding zenye watoto jumla 8457.

Sehemu ya kwanza ni marketing Plan ikiwemo namna ya kuwakabili washindani kadri unavyokua, upangaji wa bei soko likibadilika,kujua wateja unaowalenga kabla ya kuanza uzalishaji,

Sehemu yapili:Management, namna ya kutumia watu uliowaajiri vizuri na kujua sheria za nchi kwa uliowaajiri

Sehemu ya tatu:Finance; Njia tofauti za kutafutia fedha za mradi na uandaaji wa ripoti
Sehemu ya nne:Analysis, Kujipima nguvu na udhaifu wako, fursa na hatari zinazokuzunguka
Sehemu ya mwisho: Exit strategy, Jinsi ya kuokoa mtaji wako, iwapo mambo hayakwenda kama ulivyotaraji

Simu:0713-039875
 
Back
Top Bottom