Mjasirinamali
Member
- Mar 7, 2017
- 32
- 19
Wasalaam wanajumuia wa JamiiForums,
Nauza mahindi mabichi (gobo) heka moja. Hivyo nahitaji mnunuzi tafadhali, Shamba lipo Mlandizi bonde la Mtoruvu, maarufu kama Kivukoni kwa Mpili.
Mwenye uhitaji tuwasiliane, aje private message.