Jukwaa la madalali

Jukwaa la madalali

Jerry santonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
647
Reaction score
566
Habari wakuu,katika utafiti mzito nilichogundua hili jukwaa ni la madalali watu janja janja ukikaa kizembe utakuta mwana si wako yani mtu anakudalalia ukiwa macho duuuh asalale viongozi hii ni kitu nzito....
Wasalam ni mimi mnyonge Fanani
 
Wewe nunua kwa wenye mali sio lazima kwa madalali.
 
Back
Top Bottom