Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key) Kwa magari madogo na makubwa eg. TOYOTA,VW,BMW,FORD, Benz, Iveco, Scania nk...
WESTGATE GIRLS SCHOOL - KIBAHA
WESTGATE Girls School -Shule ya sekondari ya wasichana ya bweni inatangaza nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2018. Westgate Girls ipo...
surveyed and licensed mining plant land for sale,, and we have potential area is available in East Africa Tanzania for Tanzanite mining plant (Tanzania) is only one country have produce TANZANITE...
Kumekuwa na mtindo wa lecturers kusapusha na kukerisha watu vyuoni kwa visasi tu. Unakuta lecture anakerisha mtu kisa tu mwanafunzi amemkosoa namna anavyofundisha ama unakuta lecturer anasapusha...
Biashara ya dagaa
Habari njema kwa wakazi wa mikoa ya Nyanda za Juu kusini (yaani kuanzia Iringa, Songea, Mbeya na wengine wa jirani ) tunawakaribisha kuweka order za Dagaa wa Mwanza wasio na...
Mambo!
Nauza simu tajwa kwa bei simple.
Ina support 4G internet pamoja na sd card ya 16GB (ukiondoa internal storage yenye 8GB).
Nipo Dar. Call: 0688 20 02 77
Bati za migongo midogo za rangi
Rangi:kijani,blue,red,maroon,chocolate na sky blue
Gauge 30
Bei: 21,000/= bati moja la 3meter
336,00/= bundle moja la piece 16
Call: 0656-816616...
Tunashoot nakutengeneza vedios pamoja na picha kwenye maharusi, send off, kitchen party, graduations na sherehe mbalimbali, tuna Offer kibao kwa watakao hitaji huduma zetu, bei zetu ni nafuu sana...
Nina s6 duo.. nimetumia kwa muda wa miezi 9 sasa but iko na good condition.
Kama kuna mtu mwenye s7 edge isiyo na crack kabisa, good looking, na yuko tayari ku exchange nami na top up tuwasiliane...
Habari wakuu.
Nina uhitaji mkubwa wa mashine tajwa hapo juu.
Nahitaji zinazotumia umeme. Naomba kwa wauzaji waliopo Arusha/Moshi ili kuokoa gharama za usafirishaji.
Asanteni
MASHINE ZA KUSAGIA NYAMA ZISIZOTUMIA UMEME
Tunauza mashine ya kusagia nyama,inasaga nyama kwa urahisi sana na zinatoka vizuri
Zipo tofauti zinatofautiana kwa ukubwa
Saizi ndogo kabisa (D8) ni...
Habari zenu wakuuu..
Napenda kuwatangazia tunauza mashine kubwa mpya na imara za kusagia nyama.
Hazitumii umeme,ni nguvu yako ya mkono wako tu
Hizi ni saizi kubwa D32.
Zinasaga nyama zinakuwa...
Wakuu habari
Naomba mnisaidie nanunua kuku wa kienyeji pure kabisaaa ambao wanakaribia kutaga nimesikia mikoani vijijini wapo wengi naweza kupata kuanzia 6000 mpaka 8000 wapo wengi sanaa basi...
Kiwanja kinaukubwa wa 18*20 gari inafika hadi ktk kiwanja . Bei nafuu sana.
Umeme na kisima cha maji vipo karibu sana.
Bei tzs 3,950,000.00
Call 0658 554 992
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.