Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Rejea kichwa hapo juu nauza tv flat sreen 270,000/= na simu samsung s3 150,000/= nko mbezi kimara mawasiliano 0712846799 na 0767834342 picha izo chini
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nina shida nauza gari yangu, bei 8.9m, mazungumzo kidogo, yapo. Ina 1830cc, 100,000km, silver, namba D. Hii ni turbo sio io. Simu 0716411720
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu salaam kwenu, nahitaji macbook pro kwa mwenye nayo tuwasiliane hapa. Anipe specifications zake na bei yake.
0 Reactions
1 Replies
554 Views
NAUZA KWA BEI YA JUMLA WAHI SASA NIPO SINZA MORI Bidhaa zote zipo kwenye Makaratasi yake. Wasiliana nami 0784232526 1. Fridge Hotpoint HDR 252 (1) =637,500 2. Fridge Hotpoint HDR 272 (1)...
2 Reactions
28 Replies
8K Views
Ndugu wana Jf kwa wenye laini za uwakala wa mpesa ninauhitaji nazo,nahitaji 2 nicheki kupitia 0754969349,niko kagera,kyerwa.
0 Reactions
9 Replies
936 Views
Kwa wanaotaka kupanga vyumba vipo, vya kila bei kwa mawasiliano piga. Maeneo ya mombasa ukonga. 0626658983.
0 Reactions
1 Replies
834 Views
hcar travellars drivers inawatangazia Wakazi wa Dar na mikoani kuwa inatoa huduma ya madereva wenye uzoefu na Elimu ya kueleweka kwa ajili ya safari za mikoani na mizunguko ya hapa mjini. Hcar...
0 Reactions
5 Replies
809 Views
Kama mada invyojieleza,naitaji screen ya samsung nchi 32 mimi yangu inainyesha nusu picha ,mafundi wanasema imekufa screen kwa aliyo nayo tuongee biashara,asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu anayejua bei ya machine ya kukatia tiles na mahali wanapouza naomba anijuze (machine ya mkono sio ya umeme) Ahsanteni.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu kuwa napangisha nyumba iliyopo mbagala kuu karibu na shule ya msingi ya maendeleo mita mia 200 kutoka barabarani chumba kimoja na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Laini zipo mbili zote zinahitaji Mtumiaji..ni wewe na mtaji wako. Bei kwa laini ya voda ni 200000(laki mbili) Bei kwa laini ya Airtel ni 150,000(laki na nusu) Anahitajika wa kuchukua ZOTE...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wadau, naombeni msaada kwa anayejua shule nzuri ya watoto (English medium) kwa maeneo ya Tabata na kinyerezi au jirani na maeneo haya!! nataka nimpeleke mtoto Wangu ana miaka 4 na nusu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Isiwe vitz Nipe gari yoyote isiwe na shida tuuh
0 Reactions
7 Replies
2K Views
gari inauzwa hiace bei ya kuanzia ni 14,000,000 haina tatizo lolote.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
928 Views
tunauza mashuka,bed cover,mapazia ya mtumba, tunapatikana karume piga namba 0712288700 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
3K Views
HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Mkurugenzi Mtendaji (W)Makete kupitia kibali cha ajira mbadala kilichotolewa na Katibu Mkuu - Utumishi Kumb. Na. CFC 26/205/01"FF" /91...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
tunauza nguo za watoto za mtumba za ukweli, Magauni, sketi, blauz, sweta, pensi, suruali, short pens, swiming cost, t shert, shati, tyt, nk bei ni sh 8000 nakuendelea tunapatikana karume piga...
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Boxer & Vest bei Tsh 12000/= 3-pack % Cotton fit t-shirts fit 3-pack Tsh 22000/= % Cotton +255 715 919 043
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom