Tile cutting machine.

Tile cutting machine.

Hammy Js

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Posts
3,053
Reaction score
3,270
Habari wakuu anayejua bei ya machine ya kukatia tiles na mahali wanapouza naomba anijuze (machine ya mkono sio ya umeme)
Ahsanteni.
 
Habari wakuu
Anayejua bei ya machine ya kukatia tiles na mahali wanapouza naomba anijuze (machine ya mkono sio ya umeme)
Ahsanteni.
Ziko kwenye maduka ya hardware mkuu nenda kanunue.The best nadhani haizidi 50,000/=
 
Screenshot_2017-10-05-21-07-24.png

Picha yake hii hapa nmeiattach
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom