Msaada shule nzuri ya watoto

Msaada shule nzuri ya watoto

ERIK

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
623
Reaction score
315
Habari wadau,

naombeni msaada kwa anayejua shule nzuri ya watoto (English medium) kwa maeneo ya Tabata na kinyerezi au jirani na maeneo haya!!

nataka nimpeleke mtoto Wangu ana miaka 4 na nusu sasa!

nitashukuru saana kusaidiwa sababu sijui shule nzuri na yenye elimu bora kwa ukanda huu au jirani na maeneo niliyotaja............
 
Mpeleke TUSIIME naona ndio shule yenye viwango vya ubora wa juu kielimu kwa Tabata na Tanzania kwa ujumla.
Kwa mwaka jana iliingia kumi bora ya shule zenye ufaulu wa juu zaidi Tanzania nzima
 
unaweza jaribu na fountain gate academy iko maeneo ya baracuda.
 
Back
Top Bottom